Tuesday 26 March 2013

VIJIMAMBO: WATOTO MBEYA WAUZA KUNI WAPATE HELA YA PASAKA

VIJIMAMBO
thumbnail WATOTO MBEYA WAUZA KUNI WAPATE HELA YA PASAKA
Mar 27th 2013, 00:25

Picha juu na chini ni Watoto waliokutwa na mpiga picha wakitoka kuokota kuni maeneo ya msitu wa sisimba uliopo uzunguni Mbeya wamesema kuni hizo wanaenda kuziuza virabuni na kupata pesa ya kununulia nguo za pasaka hawakupenda kutaja majina yao ila wamesema wanatokea maeneo ya Nonde na machinjioni kata ya Itigi
Picha na Mbeya yetu

You are receiving this email because you subscribed to this feed at blogtrottr.com.

If you no longer wish to receive these emails, you can unsubscribe from this feed, or manage all your subscriptions

No comments:

Post a Comment