Tuesday 26 March 2013

VIJIMAMBO: Wadau wa sekta ya madini wamejitokeza kuusindikiza mwili wa marehemu Henry Nyiti

VIJIMAMBO
thumbnail Wadau wa sekta ya madini wamejitokeza kuusindikiza mwili wa marehemu Henry Nyiti
Mar 27th 2013, 00:18

Maelfu ya wananchi,wadau wa sekta ya madini na viongozi wa ngazi mbalimbali wamejitokeza kuusindikiza mwili wa mfanyabiashara maarufu wa madini marehemu Henry Nyiti yaliyofanyika nyumbani kwake kata ya Akheri tarafa ya Poli wilayani Arumeru mkoani Arusha .

You are receiving this email because you subscribed to this feed at blogtrottr.com.

If you no longer wish to receive these emails, you can unsubscribe from this feed, or manage all your subscriptions

No comments:

Post a Comment